Simba yawasili Singida, tayari kutetea ubingwa kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 May 2019
Simba yawasili Singida, tayari kutetea ubingwa kesho

Kikosi cha Simba kimewasili salama mkoani Singida tayari kwa mchezo dhidi ya Singida United utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Namfua

Simba iliondoka mapema leo jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege mpaka Dodoma ambapo ilitumia usafiri wa basi la kukodi (Shabiby) kuelekea mkoani Singida

Mchezo wa kesho una umuhimu wa kipekee kwa mabingwa hao watetezi kwani matokeo ya ushindi au sare yataihakikishia Simba kutwaa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo

Shamra shamra za ubingwa tayari zimeshaanza kila kona, bila shaka kesho itakuwa siku ya kuzihalalisha rasmi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’