Winga mpya wa Yanga Reuben Bomba alikuwepo uwanja wa Taifa jana kuishuhudia Yanga ikirudi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuilaza Biashara United mabao 2-1
Bomba alitua hivi karibuni kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria ikielezwa tayari Yanga imemalizana nae
Ni miongoni mwa wachezaji ambao wanaongezwa kwenye kikosi cha Yanga kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo unaofungwa Jumamosi ijayo
Wakati wowote Yanga itaweka hadharani wachezaji wapya iliyowasajili

ADVERTISE HERE