Simba itaongoza ligi ikishinda leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2017
Simba itaongoza ligi ikishinda leo
Leo Jumapili wekundu wa Msimbazi, Simba watashuka kwenye dimba la Kambarage mkoani Shinyana kuumana na wenyeji wao Stand United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tano.

Simba yenye alama nane inaweza kurudi kileleni mwa msimamo kama itaibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

Ushindi utaifanya Simba ifikishe alama 11 sawa na Mtibwa Sugar na Azam FC lakini Simba ina uwiano mzuri wa mabao (+10).

Kocha msaidizi wa timu hiyo Jackson Mayanja amesema kikosi chake kiko kamili na watahakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

"Haijalishi tutafunga mabao mangapi lakini muhimu ni ushindi," amesema Mayanja.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’