Lwandamina kurejea wiki ijayo

Admin By Admin
β€’
20 Jun 2017
Lwandamina kurejea wiki ijayo
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kurejea nchini wiki ijayo kutoka mapumzikoni kwao Zambia baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu ya Vodacom ambao Yanga iliibuka mabingwa.

Yanga inatarajiwa kuanza maandalizi ya msimu mpya katikati ya mwezi wa saba ikiwa ni mwezi mmoja kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa VPL wiki za mwisho wa mwezi wa nane.

Baada ya kuwasili Lwandamina huenda Yanga ikaanika kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao pamoja na michuano ya Kimataifa.

Hii ni kwa kuwa mikataba mingi ya wachezaji inamalizika mwishoni mwa mwezi Juni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’