Hesabu za Aussems ni kwenye ubingwa tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 May 2019
Hesabu za Aussems ni kwenye ubingwa tu

Baada ya ushindi wa mabao 8-1 dhidi ya Coastal Union, kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo huo utapigwa kesho Ijumaa, May 10 kwenye uwanja wa Uhuru

Kocha Mkuu wa vinara hao wa ligi kuu Patrick Aussems amesema lengo la kwanza la kuongoza ligi tayari limefanikiwa na sasa wanahitaji kukamilisha lengo la pili la kutetea ubingwa

"Lengo kubwa ni kutetea ubingwa na sasa tunaongoza ligi tukiwa na michezo mitatu nyuma ya wapinzani wetu," amesema Aussems

"Mimi naangalia zaidi timu yangu na mpinzani wangu ajae ni Kagera Sugar, timu nyingine sijali"

Simba inahitaji kushinda michezo minne tu ili kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo

Michezo yote minne inayofuata itapigwa uwanja wa Uhuru.

Baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar michezo inayofuata ni dhidi ya Azam Fc, Ndanda na Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’