Simba kucheza na KMC Disemba 08

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Dec 2017
Simba kucheza na KMC Disemba 08
Kikosi cha Simba kesho Ijumaa kitashuka kwenye dimba la Azam Complex kucheza na timu ya daraja la kwanza KMC katika mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa moja jioni. Viingilio, mzunguuko ni Tsh 2000/- huku VIP ikiwa Tsh 5000/-

Mchezo huo ni maalumu kukiweka kikosi cha Simba katika ushindani wakati huu ambao ligi kuu ya Vodacom imesimama kupisha michuano ya Chalenji na kombe la FA.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’