Kikosi cha timu ya vijana Simba U20 kimelazimishwa sare ya bao 1-1 na timu ya Taifa ya Cameroon U17, kwenye mchezo wa kirafiki
Mchezo huo wa kujipima nguvu ulipigwa katika viwanja vya JK Youth Park
Cameroon iko nchini kushiriki michuano ya AFCON U17 inayoanza April 14 jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE