Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea mazoezini leo baada ya mapumziko ya siku saba kufuatia kusimama kwa ligi kuu ya Vodacom.
Mchezo unaofuata wa Simba ni ugenini mkoani Mtwara ambapo Disemba 30 itakuwa mgeni wa Ndanda FC.
Ligi Kuu ya Vodacom imesimama kutoa nafasi kwa timu za Taifa za Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki michuano ya Chalenji iliyoanza jana Disemba 03 nchini Kenya.
Michuano hiyo inamalizika Disemba 17.
Baada ya kumalizika kwa michuano hiyo kulingana na ratiba iliyotolewa na TFF, kati ya Disemba 22 na 25 kutakuwa na michezo ya kombe la FA (ASFC).
Michezo ya mzunguuko wa 12 VPL itachezwa Disemba 29, 30 na 31 kabla ya ligi kusimama kwa mara nyingine kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi

ADVERTISE HERE