Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya mabingwa watetezi Simba dhidi ya JKT Tanzania umeshindwa kufanyika baada ya mvua kubwa kunyesha mkoani Morogoro
Mvua hiyo imesababisha maji kujaa katika uwanja wa Jamhuri hivyo kupelekea waamuzi kusitisha mchezo huo
Kwa kuwa Simba inakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa siku ya Jumamosi dhidi ya TP Mazembe, huenda mchezo huo ukafanyika baada ya pambano hilo
ADVERTISE HERE