Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho inaingia mzunguuko wa 12 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Ligi hiyo itaendelea siku za Jumatatu, Jumanne na Jumatano kisha kusimama kwa michezo ya timu za Azam Fc, Simba na Yanga kupisha maandalizi ya kikosi cha timu ya Taifa.
Yanga itashuka dimbani Jumanne saa moja usiku kuikabili Lipuli fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa.
Hii hapa ratiba ya michezo yote ya raundi ya 12

ADVERTISE HERE