Viingilio mchezo dhidi ya TP Mazembe hadharani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Apr 2019
Viingilio mchezo dhidi ya TP Mazembe hadharani

Msemaji wa Simba Haji Manara ametaja viingilio vya mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa Jumamosi, April 06 katika uwanja wa Taifa

Kiingilio cha chini kabisa Mzunguuko ni Tsh 4,000/- wakati VIP ni Tsh 20,000/-, VIP B Tsh 10,000/- bila ya kusahau, kama kawaida kutakuwa na tiketi za Platinum ambazo zitauzwa Tsh 100,000/-

Aidha Manara amesema tiketi za Tsh 4,000/- zitauzwa kwa bei hiyo mpaka Ijumaa, siku ya mchezo ambayo ni Jumamosi zitauzwa Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’