Huyu Fei Toto sio wa nchi hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2018
Huyu Fei Toto sio wa nchi hii
Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' jana alifunga bao pekee la Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya KMC

Mpira wake wa adhabu aliopiga kwenye dakika ya 90 ulimshinda mlinda lango mkongwe wa KMC Juma Kaseja aliyekuwa kikwazo sambamba na milingoti ya goli dhidi ya mashambulizi mengi ya Yanga.

Huo ulikuwa mpira wake wa pili wa adhabu baada ya awali kupiga mpira kama huo nje ya 18 ambao uligonga mwamba na baadae kuokolewa na Kaseja

Kiungo huyo kinda alikuwa na mchezo mzuri na hakika kwa uwezo anaoendelea kuonyesha hakuna shaka ofa nyingi zitaanza kumiminika Jangwani

"Huyu kijana ana kipaji cha hali ya juu. Ni hazina kubwa kwa Taifa hili. Ninamshauri asibweteke, azidi kujituma. Ni swala la mda mtu, ataondoka nchini," amesema mchambuzi maarufu wa soka nchini Mwalimu Kashasha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’