Simba ilivyoizidi ujanja AS Vita kwa Tuyisenge

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Mar 2019
Simba ilivyoizidi ujanja AS Vita kwa Tuyisenge

Uongozi wa klabu ya Simba tayari umemalizana na mshambuliaji wa Gor Mahia Jacques Tuyisenge ambaye pia alikuwa akiwaniwa na AS Vita Club ya DR Congo

Baada ya kumpoteza mshambuliaji wake Jean Mark Makusu aliyetimkia nchini Morocco, Vita ilikuwa mbioni kumsajili Tuyisenge kuchukua nafasi yake

Hata hivyo Meddie Kagere aliyekuwa 'pacha' wa Tuyisenge katika klabu ya Gor Mahia ambaye pia ni pacha wake katika kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda, amechangia kwa kiasi kikubwa kumshawishi Tuyisenge kutua Simba

Simba imempa Tuyisenge mkataba wa awali wa miaka miwili akitarajiwa kuanza kazi mwishoni mwa msimu

Tuyisenge alikutana na mabosi wa Simba juzi usiku katika kikao ambacho kilikuwa na mafanikio kwa pande zote mbili kufikia makubaliano

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’