Viongozi wakizembea wachezaji hawa wataondoka bure

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2017
Viongozi wakizembea wachezaji hawa wataondoka bure
Wachezaji Mzamiru Yassini, Shiza Kichuya na Mohammed Ibrahim 'Mo' mikataba yao inamalizika mwezi Juni, 2018.

Ni vyema uongozi wa Simba ukafanya juhudi sasa kuwaongeza mikataba bila kuchelewa.

Kuna hatari ya kuwapoteza wachezaji hao kwa timu nyingine tena bila gharama kama mikataba yao itaachwa imalizike kabisa.

Utaratibu huu ndio uliopelekea kumpoteza Ibrahim Ajib msimu uliopita huku kazi ya ziada ikifanywa kumbakisha Jonas Mkude.

Abdi Banda naye aliondoka msimu uliopita bila Simba kupata hata senti tano sababu alikuwa mchezaji huru.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’