Hee! kumbe ilikuwa lipigwe mnada leo

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
17 Aug 2017
Hee! kumbe ilikuwa lipigwe mnada leo
Kulingana na mtandao wa Mwanaspoti, Jengo la klabu ya Yanga lililopo mtaa wa Jangwani na Twiga lilipaswa kuuzwa leo Alhamisi badala ya Jumamosi Agosti 19 kama ilivyoonyeshwa katika tangazo lililochapishwa kwenye vyombo vya habari.

Mkurungezi wa Msolopa Investment Company, Ibrahim Msolopa ameiomba mahakama ya Ilala iwapangie tarehe nyingine watakayofanya mnada wa kuuza jengo la Yanga inayodaiwa deni la Sh. 360 milioni na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.

Msolopa ni dalali wa mahakama amesema, maombi hayo ni baada ya kutokea makosa ya kiufundi katika tangazo lililochapishwa leo Alhamisi kwenye gazeti moja la serikali.

Alisema, tarehe iliyotangazwa ya Agosti 19, siyo ile iliyoamriwa na mahakama, kwa usahihi jengo hilo lililopo maeneo ya Jangwani jijini Dar es Salaam, lilitakiwa kupigwa mnada leo Agosti 17.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’