Kitambi ataja mkakati wa ushindi Algeria

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Mar 2019
Kitambi ataja mkakati wa ushindi Algeria

Kocha Msaidizi wa Simba Denis Kitambi amesema wamedhamiria kupata matokeo mazuri kwenye mchezo dhidi ya JS Saoura na kuondoa 'nuksi' ya kufanya vibaya kwa michezo ya ugenini katika michuano ya ligi ya mabingwa

Akizungumzia maandalizi ya kikosi cha Simba, Kitambi amesema wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha wanapata matokeo kwenye mchezo huo unaopigwa ugenini

"Ni lazima tupate matokeo nyumbani na ugenini. Nafahamu itakuwa changamoto kuifunga JS Saoura kwenye uwanja wao  hasa ikingatia tuliwafunga tulipocheza nao jijini Dar es salaam lakini hatupaswi kukata tamaa," amesema

"Ni lazima tupambane, tujitume kwa jitihada zote ili kuhakikisha tunapata matokeo mazuri"

"Tutajiimarisha kimbinu zaidi kwani tunafahamu ni lazima tubadilike kwenda sambamba na ukubwa wa mashindano. Hatuwezi kucheza sawa na tunavyocheza katika ligi kuu"

Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi nchini Algeria kujiandaa na mchezo huo ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
1h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
19h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
23h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’