Msiba mwingine waikumba Clouds, Kibonde afariki dunia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Mar 2019
Msiba mwingine waikumba Clouds, Kibonde afariki dunia

Zikiwa zimepita siku tatu tu tangu kuzikwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media, Ruge Mutahaba, msiba mwingine umeikumba Clouds baada ya kufiwa na mtangazaji mahiri Epharaim Kibonde

Kulingana na taarifa iliyotolewa mapema leo, Kibonde aliyeongoza hafla ya kuagwa kwa mwili wa Ruge jijini Dar es salaam, amefariki Alfajiri ya leo jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu

Kibonde aligua ghafla wakati wa mazishi ya Ruge wilayani Bukoba

Mungu ailaze roho ya marehemu mahale pema, AMEN

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’