Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi leo uwanja wa JMK Park jijini Dar ea Salaam kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu fainali za AFCON 2019 dhidi ya Cape Verde.
Mchezo wa kwanza utapigwa October 12 huko Cape Verde na mchezo wa pili utapigwa October 16 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Saalam.
Stars iliyoingia kambini jana inajumuisha wachezaji wa ndani wakati wale wanaosakata kabumbu nje ya nchi wanatarajiwa kuwasili October 07.
Wachezaji wa Yanga ambao wameingia kambini ni pamoja na Beno Kakolanya, Gadiel Michael, Andrew Vicent, Kelvin Yondani na Feisal Salim 'Fei Toto'

ADVERTISE HERE