Kikosi cha Simba kimewasili salama mkoani Singida kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Stand United
Simba iliondoka mapema leo mkoani Iringa na inatarajiwa kuweka kambi ya siku mbili Singida kabla ya kuelekea mkoani Shinyanga
Mchezo dhidi ya Stand United utapigwa Jumapili, March 03 2019 katika uwanja wa Kambarage
ADVERTISE HERE