TFF yaomboleza kifo cha Mchau

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2019
TFF yaomboleza kifo cha Mchau

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mwamuzi wa Kimataifa mstaafu Charles Mchau aliyefariki jana Alfajiri kwenye hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro.

Rais wa TFF Ndugu Karia ametuma salamu za rambirambi kwa msiba huo wa Mchau ambaye pia alikua Kamishna wa mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

“Nimepokea kwa mshtuko mkubwa kifo cha Mchau ambaye alikua bado anautumikia mpira wa miguu,kwa niaba ya TFF natoa pole kwa Ndugu,jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao,mwenyezi Mungu awape subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi” amesema Rais wa TFF Ndugu Karia.

Amesema Mchau atakumbukwa toka enzi anachezesha mpira wa miguu mpaka kufikia kiwango cha kuchezesha Kimataifa na atakumbukwa kwa kazi yake nzuri wakati akiwa Kamishna wa mechi za Ligi Kuu baada ya kustaafu.

Mungu aiweke roho ya marehemu Charles Mchau mahali pema peponi,Amina.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’