Mbao FC imefanikiwa kuilaza Simba bao 1-0 na kufanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufikisha alama 10.
African Lyon nayo imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu baada ya kuilaza Singida United mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru.
Katika mchezo uliopigwa mapema, Prisons ililazimishwa sare ya mabao 2-2 na Kagera Sugar.

ADVERTISE HERE