Kikosi cha Simba kimewasili salama mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi dhidi ya African Lyon utakaopigwa keshokutwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Simba iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo Jumapili kwa usafiri wa Ndege
Mashabiki wa Simba wamejitokeza kwa wingi kuwapokea mabingwa hao wa Tanzania Bara ambao jana wamepata ushindi 'mujarab' wa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Yanga



ADVERTISE HERE