Jana kwenye mchezo dhidi ya Stand United, kiungo mshambuliaji fundi wa mpira Ibrahim Ajib 'Cadabra' alihusika katika mabao yote manne ya Yanga.
Kwenye mchezo huo, Ajib alifunga moja ya mabao ya msimu huku pia akitengeneza mabao mengine matatu.
Huyu ndiye Ajib aliyeanza vyema msimu uliopita na kufanikiwa kufunga mabao saba kwenye mzunguuko wa kwanza wa ligi.
Kwa mfumo anaotumia Zahera, Ajib kwa sasa ndiye injini ya mashambulizi ya Yanga.
Na ndio maana alipofanyiwa mabadiliko kwenye dakika ya 60 pamoja na Ngasa, kasi ya mashambulizi ya Yanga kuelekea lango la Stand United ilipungua.
Ajib tayari ameelewana vyema na mawinga wa Yanga Mrisho Ngasa na Deus Kaseke.

ADVERTISE HERE