Kikosi cha Simba tayari kimeingia uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa kumi kamili Alasiri
Wapinzani wao Yanga walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani hapo ambapo wachezaji wa timu hiyo waliingia na basi dogo huku basi lao kubwa likibeba viongozi na benchi la ufundi
ADVERTISE HERE