Mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga leo wanashuka uwanja wa Taifa kuikabili Stand United katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Kiingilio cha chini kabisa upande wa Mzunguuko ni Shilingi Elfu Tano.
VIP A - Tsh 30,000/-
VIP B na C - Tsh 20,000/-
Mzunguuko Ths - 5,000/-
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu yao ambayo msimu huu imedhamiria kuurejesha ubingwa nyumbani.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni na pia utakuwa mbashara Azam Sports 2.

ADVERTISE HERE