Kikosi cha Simba chapewa mapumziko ya siku nne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2017
Kikosi cha Simba chapewa mapumziko ya siku nne
Wachezaji wa Simba wamepewa mapumziko ya siku nne tu hadi Ijumaa kabla ya kurudi kuendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi zao zijazo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Ligi Kuu inatarajiwa kusimama kwa wiki mbili hadi tatu kupisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge na wachezaji kadhaa wa Simba wanakwenda kujiunga na timu zao za taifa.

Simba inakwenda kupumzika ikiwa bado inaongoza Ligi Kuu licha ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Lipuli ya Iringa Jumapili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’