FT : Simba 1-1 Lipuli

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2017
FT : Simba 1-1 Lipuli
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11 kati ya Simba dhidi ya Lipuli umemalizika kwa sare ya bao 1-1.

Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Uhuru uliishuhudia Simba ikishindwa kujiimarisha kileleni kwa kuzoa alama zote tatu.

Iliuanza mchezo huo kwa kasi na Mwinyi Kazimoto aliifungia bao la kuongoza kwenye dakika ya 15 baada ya kuvunja mtego wa kuotea na kuiwahi pasi ya Mzamiru Yassini.

Hata hivyo Lipuli walirejesha bao hilo dakika nne baadae, mfungaji akiwa Kwasi Asante aliyefunga kupitia mpira wa adhabu nje kidogo ya 18.

Licha ya juhudi zilizofanywa na kikosi cha Simba kwenye kipindi cha pili, safu ya ulinzi ya Lipuli inayonolewa na Selemani Matola iliweza kuondoa hatari zote langoni mwao.

Matokeo hayo hayajawafurahisha mashabiki wa Simba ambao walihitaji ushindi kwenye mcheoz huo ili kujiimarisha kileleni.

Kama Azam FC itaifunga Mtibwa Sugar basi itaweza kuiondoa Simba kileleni na kuongoza ligi.

Bado benchi la ufundi linahitaji kufanya jitihada zaidi kuhakikisha michezo hii inayopigwa kwenye dimba la Taifa Simba inaondoka na alama zote tatu.

Ligi huenda ikawa ngumu zaidi kwenye mzunguuko wa pili na haitakuwa rahisi sana kujihakikishia ushindi kwenye michezo itakayopigwa mikoani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’