Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limesema hakutakuwa na mabadiliko ya tarehe ya mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopangwa kupigwa Jumamosi, Februari 16 2019
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE