Stars yaenda Uganda bila Yondani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2018
Stars yaenda Uganda bila Yondani
Beki kisiki na nahodha wa Yanga Kelvin Yondani ameshindwa kusafiri na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kilichoelekea nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wa kusaka tiketi ya AFCON 2019.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi, Septemba 08 kwenye uwanja wa Mandela jijini Kampala, Uganda.

Daktari wa Stars Richard Yomba amesema Yondani aliumia mazoezini na wameona ni vyema akabaki nchini aendelee kutibiwa majeraha hayo.

Kikosi cha Stars kimeondoka leo mchana kuelekea nchini Uganda tayari kwa mchezo huo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’