JS Saoura yairahisishia kazi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2019
JS Saoura yairahisishia kazi Simba

Al Ahly jana usiku imenusurika na kipigo kutoka kwa JS Saoura baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi ya mabingwa kundi D uliopigwa huko Algeria

Vigogo hao wa soka Barani Afrika walisawazisha bao wakati mchezo huo ukielekea ukingoni

Matokeo hayo yanaipa Simba nafasi ya kurejea kileleni mwa msimamo wa kundi D kama itaifunga AS Vital Club leo au hata kupata matokeo ya sare

Kwa sasa Al Ahly inaongoza kundi D baada ya kufikisha alama nne ikifuatiwa na Simba yenye alama tatu

Kama Simba itaibuka na ushindi nchini Congo leo basi itajiweka katika nafasi nzuri zaidi kwani itakuwa na alama sita, zikiwa ni alama tano mbele ya JS Saoura

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’