Mziki waliochezeshwa USM Alger kuikumba Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2018
Mziki waliochezeshwa USM Alger kuikumba Mtibwa Sugar
Ari ya wachezaji wa Yanga imerejea katika kipindi muafaka ambapo pazia la ligi kuu ya Tanzania Bara linazinduliwa rasmi kesho.

Yanga itashuka dimbani keshokutwa Alhamisi kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo ambao vijana hao wa Jangwani wamedhamiria kuibuka na ushindi.

Ushindi wa mabao 2-1 iliyopata Yanga dhidi ya USM Alger kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho, umerejesha ari ya ushindi kwa kikosi cha Yanga.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na wamedhamiria kuondoka na alama zote tatu kwenye dimba la Uhuru.

Baada ya mchezo huo Yanga itasafiri kwenda nchini Rwanda kuikabili Rayon Sports kwenye mchezo wa kumaliza hatua ya makundi, kombe la Shirikisho.

Mchezo huo utapigwa August 28 huko Rwanda.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’