JS Sauora yatua na 'nyomi' ya watu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2019
JS Sauora yatua na 'nyomi' ya watu

Msafara wa JS Sauora,  wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa umewasili usiku wa kuamkia leo ukiwa na watu 60 waliojumuisha wachezaji, benchi la ufundi, waandishi wa habari na mashabiki

JS Sauora imetua nchini ikiwa na Mtanzania Thomas Ulimwengu aliyejiunga na timu hiyo hivi karibuni

Ulimwengu amesema amefarijika kurudi nyumbani na ana matumaini makubwa kuwa watafanya vizuri kwenye mchezo wa kesho

"Nina furaha kurudi kucheza tena nyumbani, Simba ni timu nzuri lakini sisi tumejiandaa kwa ajili ya kupambana nao," amesema

Wakati Sauora wakitua, wenyeji wao, Simba wameendelea kujifua kujiandaa na mchezo huo ambao lengo kuu ni kuondoka na alama zote tatu.

Kocha Mkuu wa Mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Aussems amesema amekiandaa kikosi chake kikamilifu na ana matumaini makubwa kuwa wataondoka na alama zote tatu dhidi ya wapinzani wao hao kutoka nchini Algeria

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’