Azam kurusha mbashara Mawenzi vs Yanga kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2018
Azam kurusha mbashara Mawenzi vs Yanga kesho
Yanga inaendelea kujifua mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mawenzi Market kesho, mchezo maalum kwa ajili ya kumstaafisha mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro'.

Runinga ya Azam imethibitisha kuwa itarusha mbashara mchezo huo kupitia chaneli ya Azam Sport HD kuanzia saa kumi kamili jioni.

Kabla ya mchezo huo, kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali pamoja na uzinduzi wa timu ya akina dada wa Yanga, YANGA PRINCESS.

Wasanii watakaopamba jukwaa ni pamoja na Juma Nature, Bill Nas, Mr Blue, Gigy Money, Lulu Diva, Wema Sepetu Msaga Sumu na Dolo.

Nadir aliyeitumikia Yanga kwa miaka 12, ataagwa rasmi baada ya kuwa amestaafu kucheza soka kuteuliwa kuwa Meneja wa timu.

Burudani zinatarajiwa kuanza saa tatu asubuhi.

Aidha, kabla ya mchezo huo kutanguliwa na mchezo kati ya timu ya Wanawake ya Yanga, YANGA PRINCESS dhidi ya Morogoro Combine utakaoanza saa 8 mchana.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’