Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya makundi kati ya Simba dhidi ya JS Sauora.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi katika dimba la Taifa kuanzia saa kumi kamili jioni.

ADVERTISE HERE