Kama kuna shabiki wa Yanga ambaye bado ana hofu na timu yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara, aondoe shaka.
Yanga imeendelea kujifua kikamilifu mkoani Morogoro chini ya kocha Mkuu Mwinyi Zahera na kumekuwa na utofauti mkubwa unaonyeshwa na wachezaji baada ya wiki moja ya mazoezi makali.
Zahera na vijana wake wamepania hasa kuirejesha heshima ya Yanga iliyotetereka msimu uliopita kutokana na changamoto lukuki.

ADVERTISE HERE