Uongozi wa Simba umepunguza bei ya jezi kuhakikisha unawapa mashabiki wake fursa ya kununua jezi kwa wingi kuhakikisha kila mshabiki anavaa uzi wa Simba siku ya Jumamosi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Sauora.
Jezi halisi za Simba zinapatikana katika maduka ya UhiSport yaliyopo Kariakoo na Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam kwa bei ya Tsh 15,000 tu.
Aidha jezi halisi za Simba zinakuwa na stika inayothibitisha uhalali wa jezi hiyo.

ADVERTISE HERE