Leo Jumatano mapema asubuhi Yanga ilicheza mchezo wakirafiki wa kujipima nguvu na timu ya kituo cha Tanzanite cha Morogoro na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1.
Mabao ya Yanga yakifungwa na Makambo, Ngasa, Kaseke, Martin na Maka Edward.


Mabao ya Yanga yakifungwa na Makambo, Ngasa, Kaseke, Martin na Maka Edward.


ADVERTISE HERE