Manara kuzungumza na Wanahabari leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2019
Manara kuzungumza na Wanahabari leo

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara leo atazungumza na waandishi wa habari kueleza mikakati ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura utakaopigwa Jumamosi ijayo Januari 12, 2019 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Simba iko visiwani Zanzibar ikishiriki michuano ya kombe la Mapinduzi ikiwa imeshinda michezo yake yote miwili iliyocheza dhidi ya Chipukizi (4-1) na jana KMKM (1-0)

Mabingwa hao wa Tanzania Bara watalazimika kugawa kikosi ili wachezaji wengine warejee jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa

Katika michuano ya kombe la Mapinduzi Simba iko katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali na huenda ikaendelea kuwepo visiwani Zanzibar hadi wiki ijayo michuano hiyo itakapokuwa inafikia tamati Januari 13 2019

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’