Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kujiandaa na msimu mpya sambamba na michuano ya kombe la Shirikisho.
Yanga inajifua na kikosi chake kamili baada ya kuwasili kwa wachezaji wengine waliokuwa na udhuru.

Licha ya kukabiliwa na changamoto nyingi, dalili ni njema na hakuna shaka kikosi cha Yanga kitakuwa imara na tayari kwa michezo ya ligi.

ADVERTISE HERE