FT : Chipukizi Fc 1-4 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jan 2019
FT : Chipukizi Fc 1-4 Simba

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameanza vyema michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika visiwani Zanzibar baada ya kuifumua Chipukizi Fc mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa dimba la Amaan Ijumaa usiku.

Simba ilitumia mchezo huo kujaribu baadhi ya 'mashine' zake kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika utakaopigwa Jumamosi ya Januari 12 2019 dhidi ya JS Soaura.

Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere aliyepachika mabao mawili, Nicolas Gyan na nahodha John Bocco wakati bao la kufutia machozi kwa upande wa Chipukizi lilifungwa na Kilongozi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’