Mlinda lango wa Simba Said Mohammed 'Nduda' huenda asionekane kabisa dimbani msimu huu kutokana na majeruhi yanayomkabili.
Nduda alifanyiwa upasuaji wa goti na hivyo kuhitaji muda zaidi ili aweze kupona kabisa.
Tayari kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog ameuagiza uongozi wa Simba usajili mlinda lango mwingine kwenye kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.
Nduda na Shomari Kapombe wameshindwa kuitumikia Simba msimu huu tangu wasajiliwe wakati wa usajili wa mwezi Julai.

ADVERTISE HERE