TFF yaomboleza kifo cha Kessy Rajabu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2018
TFF yaomboleza kifo cha Kessy Rajabu

Jana mdau wa klabu ya Simba Kessy Rajabu ambaye pia alikuwa mtunza vifaa msaidizi wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', alifariki dunia baada ya kuanguka uwanja wa Taifa wakati wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Nkana Fc.

Rajabu alianguka ghafla baada ya Nkana Fc kuandika bao la uongozi kwenye dakika ya 17. Alikimbizwa Hospitalini hata hivyo alifariki muda mfupi baade.

Shirikisho la soka nchini (TFF) limeeleza kushitushwa na kifo cha ghafla cha Rajabu. Rais wa TFF Wallace Karia ameeleza kushitushwa na taarifa za kifo chake.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’