Winga Geofrey Mwashiuya amesajiliwa na klabu ya SIngida United muda mfupi kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Wakati Mwashiuya akitua Singida United, mlinda lango Youthe Rostand huenda akatua kwa mkopo klabu ya African Lyon.
Pia Yanga imefanikiwa kumalizana na beki wake kisiki Kelvin Yondani ambaye usajili wake umekamilishwa usiku huu.

ADVERTISE HERE