Droo ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la FA (ASFC) imefanyika leo huku mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wakipangwa kuanzia nyumbani dhidi ya Mashujaa Fc kutoka mkoani Kigoma.
Michezo ya raundi ya tatu itapigwa kati ya Disemba 21-24 2018.
Hii hapa ratiba ya michezo yote
Michezo ya raundi ya tatu itapigwa kati ya Disemba 21-24 2018.
Hii hapa ratiba ya michezo yote
ADVERTISE HERE