Wachezaji wa Simba wameendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Nkana Fc.
Licha ya kujifua, wachezaji wamekuwa wakipewa muda kupumzika na kupata nafasi ya 'kujiachia' mara mojamoja
Mabingwa hao wa nchi wataondoka nchini Alhamisi kuelekea Zambia tayari kwa mchezo dhidi ya Nkana ambao utapigwa Jumamosi huko Kitwe Zambia
Kwa wale 'walioi-mis' Simba kwenye ligi wasubiri kidogo, vijana wana kazi kubwa ya kupeperusha bendera ya nchi Kimataifa.
Na Habari njema ni kwamba katika anga za Kimataifa Simba huwa haina masihara..!

ADVERTISE HERE