Simba iko tayari kuivaa Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Nov 2017
Simba iko tayari kuivaa Prisons
Kikosi cha Simba leo asubuhi kimefanya mazoezi ya nguvu kwa mara ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 10 dhidi ya Prisons.

Mchezo huo utapigwa kesho Novemba 18 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.

Menaja wa Simba, Robert Richard amesema ukimuondoa Shamari Kapombe na Said Mohammed 'Nduda', hakuna majeruhi wapya hivyo kocha Joseph Omog atakuwa kikoosi kipana.

Richard amesema Simba imejipanga kufanya muujiza kwa kuondoka na alama zote tatu katika mchezo huo.

Prisons ni miongoni mwa timu ambazo zimekuwa ngumu kufungika katika dimba lao la nyumbani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’