Okwi atua, aingia kambini kuwasubiri Mbabane Swallows

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Nov 2018
Okwi atua, aingia kambini kuwasubiri Mbabane Swallows
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi amewasili nchini mapema leo tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Mbabane Swallows.

Okwi na Juuko Murshidi walichelewa kujiunga kikosini kutokana na kukabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa ya Uganda iliyokuwa imealikwa nchini Nigeria.

Kikosi cha Simba kiko mafichoni kikiwawinda Mbabane Swallows kutoka Uswatini wanaotarajiwa kuwasili saa saba usiku wa leo kuamkia kesho.

Simba inahitaji kuibuka na ushindi mnono kwenye mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa keshokutwa Jumatano ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga raundi ya kwanza kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa huko Eswatini wiki moja baadae
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’