Simba yaipania Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2017
Simba yaipania Prisons
Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City keshokutwa Jumamosi, Novemba 18.

Kikosi cha Simba kimeongezewa nguvu baada ya wachezaji waliokuwa wameitwa kwenye timu za Taifa kurejea.

Meneja wa Simba Robert Richard amesema timu imejipanga kuhakikisha inaondoka na ushindi kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa mgumu.

Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Sokoine, uwanja ambao amekuwa sio rafiki sana kwa kikosi cha Simba kila kinapokutana na Prisons.

Ushindi utaihakikishia Simba kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’