Dirisha la usajili kufunguliwa kesho Alhamisi Nov 15

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Nov 2018
Dirisha la usajili kufunguliwa kesho Alhamisi Nov 15
Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa kesho Alhamisi Novemba 15 ambapo timu zinazoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara zitakuwa na nafasi ya kuimarisha vikosi vyao.

Wakati baadhi ya timu zikionekana kuanza mapema mchakato huo wa usajili, kwa upande wa Simba, mabingwa wa Tanzania, usajili unafanywa kwa umakini sana.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema ana kikosi imara na hategemei kuongeza wachezaji wengi wakati huu wa usajili

Aussems amesema nafasi ambazo anahitaji kuongeza nguvu ni mlinzi wa kulia na kiungo mkabaji.

Hata hivyo kocha huyo amesema atakuwa tayari kupokea wachezaji wengine ambao wana uwezo katika nafasi nyingine ili kuongeza changamoto zaidi

Simba imekuwa ikihusishwa na wachezaji kadhaa akiwemo Thomas Ulimwengu, Francis Kahata na Salum Kimenya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’