Mwashiuya, Mahadhi na Baruani bado Zahera ana kazi nao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2018
Mwashiuya, Mahadhi na Baruani bado Zahera ana kazi nao
Kama kuna anayedhani Geofrey Mwashiuya, Juma Mahadhi na Baruani Akilimali wataondoka Yanga msimu huu asahau kwa kuwa watatu hawa wako kwenye mipango ya kocha Mkuu wa timu hiyo Mcongo Zahera Mwinyi.

Zahera ni 'muumini' wa soka la kushambulia kwa kasi, kuwa na wachezaji aina yao ni faida kwake.

Katika orodha hiyo ataongezeka Mrisho Ngasa ambaye anatajwa kurejea Jangwani.

Licha ya ukongwe wake, bado anayo kasi ya 'kuwasha' moto kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga.

Alipowasili na kuanza kuinoa Yanga, Zahera alivutiwa na aina ya uchezaji wa Mwashiuya, Mahadhi, Baruani na Lothi ambapo aliahidi kuwaimarisha zaidi ili wawe wakali maradufu.

Wakati Mahadhi, Baruani na Lothi wakiwa bado na mikataba na Yanga, mkataba wa Mwashiuya umemalizika lakini Zahera ameagiza winga huyo abakishwe Jangwani kwa gharama yoyote
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’